Friday, January 25, 2013

Friday, September 23, 2011

President Jakaya Kikwete at the United Nations Wednesday September 21, 2011 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in talks with the Deputy Prime Minister of Luxemborg, H.E. Mr Jean Asselborn. Seated second left is Mr  Mahmoud Abbas, the Palestinian Authority President also in talks with another leader at the Indonesia Room at the UN headquarters in New York Wednesday
 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete shakes hands with the President of Slovenia, H.E. Dr Danilo Turk
 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in a tete-a-tete with the President of Slovenia, H.E. Dr Danilo Turk
 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete meets with the President of  The Democratic Republic of Congo, H.E. Joseph Kabila and one of his government officials in the corridors of the UN headquarters in New York
 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete meets with the Secretary of State for International Development of the United Kingdom, Hon. Andrew Mitchell at the UN. Right is the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation Hon Bernard Membe

 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete with the Deputy Prime Minister of Luxemborg, H.E. Mr Jean Asselborn, pause to greet  Mr  Mahmoud Abbas, the Palestinian Authority President at the UN
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete with the Deputy Prime Minister of Luxemborg, H.E. Mr Jean Asselborn after their talks at the UN

President Dr Jakaya Kikwete rings The NASDAQ Stock Market Closing Bell President Dr Jakaya Mrisho Kikwete rings the NASDAQ Stock Market Closing Bell  at  NASDAQ MarketSite at 4 Times Square,   New York, Wednesday September 21, 2011
 President Dr Jakaya Mrisho kikwete with NASDAQ's Vice Chairman David Wicks (right) and at the MarketSite at New York 4 Times Square 
 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete speaks during the ceremony
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete with First Ladies, Health Ministers and Global Health Leaders cheer after the bell zanzibar
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete with First Ladies, Health Minister for Tanzania Mainland Dr Hadji Mponda and his Zanzibar coounterpart, Mr Juma Duni Haji (third and second right respectively),  Ambassador Amina Ali, AU Permanent representativ to the UN (left) and Roll Back Malaria Goodwill Anbassador Yvonne Chakachaka pose after the bell.
 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete during a roundtable discussion on Women's Health and Diplomacy  at the NASDAQ headquarters after the bell ringing ceremony
 Madam Thobeka Stacie Zume, the First Lady of South Africa, makes her contribution at the roundtable
 Dr Ida Betty Odinga, wife of Kenya's Prime Minister, addresses the roundtable
 Yvonne Chaka Chaka, Princess of Africa Foundation founder, renowned singer and Roll Back Malaria Goodwill Ambassador speaks during roundtable. Right is the First Lady of Sierra Leone Madam Sia Nyama Koroma. 
 President Dr Jakaya Mrisho Kikwete makes his remarks during the roundtable discussions
The Roundtable in progress

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete shakes hands with Dr Samia Al-Amoudi, Sheikh Mohamed Hussein Al-Amoudi, CEO and Founder of the  Centre of Excellence in Breast Cancer in Jeddah,  Saudi Arabia
The Tanzanian technical team at the Roundtable
Zanzibar and Tanzania Mainland Ministers for Health Mr Juma Duni Haji (right) and Dr Hadji Mponda, excvhange pleasantries with  Yvonne Chaka Chaka, Princess of Africa Foundation founder, renowned singer and Roll Back Malaria Goodwill Ambassador.

African Union's Permanent Representative to the UN 
Ambassador Amina Ali at the roundtable
President Kikwete greets Mr Andrew Whitman, Varian company's Vice President, before holding talks
 President Dr Jakaya Kikwete in talks with Mr Andrew Whitman, Varian's Vice President, who has expressed keen interest to working with Tanzania in health matters
The Chief Medical Officer, Dr Deo Mutasiwa, greets Mr Andrew Whitman, after the meeting with President Kikwete. Others from left are Zanzibar Minister for Health Hon. Juma Duni Haji and Tanzania Mainland Minister for Health and Social Welfare Dr Hadji Mponda. Right is Ambassador Tatu Nuru, Personal Assistant to the President (Diplomatic Affairs)

Rais Kikwete katika soko la Hisa la NASDAQ, New York

President Jakaya Kikwete addresses the 66th UN General Assembly

Rais Kikwete akutana na viongozi mbalimbali leo Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Bwana Ted Alemayhu,Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa US Doctors for Africa aliyemtembelea Rais Kikwete katika hoteli ya Jumeirah iliyoko jijini New York.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na viongozi wa makampuni ya Sithe Global, iliyowakilishwa na Bwana Bruce Wrobel ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa makampuni hayo na Bwana Garrett Moran wa Blackstone Group  kuhusu uwekezaji katika Tanzania katika nyanja za Nishati na Miundombinu. Mazungumzo hayo yalifanyika katika hoteli ya Jumeirah huko New York.
 Rais Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bwana Daniel Yohannes katika hoteli ya Jumeirah jijini New York mara tu baada ya Rais Kikwete kumaliza kuhutubia mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.PICHA NA JOHN LUKUWI.

Thursday, September 22, 2011

Rais Jakaya Kikwete akihutubia mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa leo

Rais Jakaya Kikwete akihutubia mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa jijini New York 

Rais Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil jijini New York ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika maongezi mafupi na kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtabulisha Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mh Ombeni Sefue kwa  kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil 

Monday, September 19, 2011

CCM yaishambulia Igunga kama nyuki Daniel Mjema, Igunga
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kulishambulia jimbo hilo kwa mikutano ya hadhara na sasa kwa siku kinafanya mikutano zaidi ya 40 na kimeongeza kikosi kingine kinachomhusisha Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Philip Mangula.

Awali, CCM ilikuwa na kampeni za timu mbili zilizokuwa zikifanya wastani wa mikutano nane kwa siku lakini kuanzia jana timu hizo za kampeni zimegawanywa katika makundi 12 yanayowahusisha viongozi wa kitaifa.

Katika mpango huo wa kushambulia jimbo hilo la Igunga, kila kundi linafanya mikutano minne ya hadhara kwa siku ambayo kwa hesabu rahisi ni kwamba, kila siku inafanyika jumla ya mikutano 48.

Viongozi wanaounda timu hizo ni pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Mangula, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Vuai Ali Vuai na baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu(NEC).

Wabunge wa Chadema wafikishwa mahakamani
WASOMEWA MASHTAKA MATATU LIKIWAMO LA WIZI, WAACHIWA KWA DHAMANA
Waandishi Wetu, Tabora na Igunga


WABUNGE wawili wa Chadema na kiongozi mmoja wa chama hicho wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tabora kujibu mashtaka matatu kwa pamoja likiwamo la kumshambulia Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario.Mbali na mashtaka hayo kuwakabili watuhumiwa wote, watatu ambao ni Mbunge wa Viti Maalumu, Suzan Kiwanga, Sylvester Mhoja Kasulumbayi (Maswa Mashariki ) na Anwar Kashaga, Kasulumbayi ameongezewa shtaka moja; kumtukana matusi ya nguoni mkuu huyo wa wilaya.

Watuhumiwa hao kwa pamoja, walifikishwa mahakamani hapo jana chini ya ulinzi mkali wa polisi na kusomewa mashtaka hayo, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Thomas Simba.
 
Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Juma Massanda aliieleza mahakama kuwa katika shtaka la kwanza, Kasumbayi alimtukana matusi ya nguoni mkuu huyo wa wilaya. Alisema alitenda kosa hilo Septemba 15, mwaka huu katika Ofisi ya Ofisa Mtendaji wa Kata ya Isakamaliwa wilayani Igunga.

Rais Kikwete awasili New York leo kuhudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika hoteli ya Jumeirah Essex House jijini New York, Marekani, leo tayari kujiunga na viongozi wenzie wa dunia katika mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa unaoanza kesho Jumatatu makao makuu ya Umoja wa Mataifa
 Rais Kikwete akipokewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe hotelini hapo. 

 Rais Kikwete akisalimiana na Afisa Habari katika ubalozi wa Tanzania Umnoja wa Mataifa, New York Bi Maura Mwingira
 Rais Kikwete akisalimiana na Bw. Mero wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa
Rais Kikwete akisalimiana na Dkt Kaushik Ramaiya wa Hospitali ya Hindu Mandal, Dar es salaam
 Baadhi ya maafisa wakiwa katika chumba cha mkutano wa maandalizi
 Dkt Rachel Mhaville na Dkt Linda Ezekiel wote toka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika mkutano huo wa maandalizi
Kaimu Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali Bw. Mkumbwa Ally (kati) akiwa na maofisa wengine
Rais Kikwete akisalimiana na Profesa Kulikoyela Kahigi, Mbunge wa Bukombe (CHADEMA) huku Mbunge wa Liwale Mh Fath Mitambo na Katibu Mkuu Wizara ya afya Mama Blandina Nyoni wakisubiri
Rais Kikwete akisalimiana na Mwambata wa Jeshi katika Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Kanali  Wilbert Ibuge
Rais Kikwete akisalimiana na Dkt Rachel Mhaville ambaye ni daktari bingwa wa meno ya watoto kutoka hospitali ya taifa ya Muhimbili ambaye anahudhuria mkutano huo pamoja na maafisa waandamizi wizara ya Afya
Rais Kikwete akipeana mikono na Bw. Omar Mwalimu ambaye ni msaidizi wa Waziri wa Afya wa Zanzibar
Rais Kikwete akisalimiana na maafisa 
Maafisa mbalimbali kutoka Tanzania na wa ubalozi wa kudumu katika Umoja wa Mataifa wakiwa kikaoni
Rais Kikwete akiongoza kikao cha maandalizi kwa ajili ya mkutano huo wa kila mwaka wa  Umoja wa Mataifa